Chuo cha Biashara CBE: Mnakolekea mnapotea...Vyeti miaka mitatu havijatoka..!!!!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo cha Biashara CBE: Mnakolekea mnapotea...Vyeti miaka mitatu havijatoka..!!!!.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mzee wa njaa, Jul 1, 2011.

 1. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimemaliza Elimu yangu Pale CBE 2007 Graduation ilikuwa 2008 eti mpaka leo huu mwaka wa 3 vyeti havijatoka sababu vinachapishwa Uingereza sasa sijui tunaelekea wapi? Ndio hicho kinachofanya chuo kinadharaulika kwa mambo madogo madogo kama hayo......Tupeni vyeti vyetu jamani manake tumefuatilia mpaka tumechoka manake inakuwa kama tunanunua vyeti.

  Hivyo vyeti vinakuwa na security kama hela inaboa sana...watu wamepoteza nafasi za kazi kwa uzembe wenu. Wahusika fanyeni kazi kwa umakini acheni uzembe...

  Jirekebisheni.
   
 2. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanaboa kwel hawa jamaa
   
Loading...