Mr FCB JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 227 Reaction score 120 Jul 12, 2018 #1 Kama mada inavyosema nimepangiwa ATC,arusha kozi ya auto electrical & electronics eng.kwa wale wenye uzoefu nakozi hiyo naombeni msaada Wa kimawazo.
Kama mada inavyosema nimepangiwa ATC,arusha kozi ya auto electrical & electronics eng.kwa wale wenye uzoefu nakozi hiyo naombeni msaada Wa kimawazo.
kauga JR JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 3,570 Reaction score 2,200 Jul 12, 2018 #2 Bora ujiajiri.
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,448 Reaction score 25,833 Jul 12, 2018 #3 kauga JR said: Bora ujiajiri. Click to expand... [emoji30]
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,684 Reaction score 45,616 Jul 12, 2018 #4 kauga JR said: Bora ujiajiri. Click to expand... Mpe sababu za kwann ajiajiri na asiende kusoma,..?!
kauga JR JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 3,570 Reaction score 2,200 Jul 12, 2018 #5 mumu said: Mpe sababu za kwann ajiajiri na asiende kusoma,..?! Click to expand... Anapoteza muda, halafu kunavitu atavisoma havita msaidia maishani.
mumu said: Mpe sababu za kwann ajiajiri na asiende kusoma,..?! Click to expand... Anapoteza muda, halafu kunavitu atavisoma havita msaidia maishani.
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,684 Reaction score 45,616 Jul 12, 2018 #6 kauga JR said: Anapoteza muda, halafu kunavitu atavisoma havita msaidia maishani. Click to expand... Basi mpe ABC's za kufanya,.kumwambia hivyo kirahisi-rahisi unamvunja moyo dogo...halafu sio wote lazima tujiajiri mzee mwenzangu,.
kauga JR said: Anapoteza muda, halafu kunavitu atavisoma havita msaidia maishani. Click to expand... Basi mpe ABC's za kufanya,.kumwambia hivyo kirahisi-rahisi unamvunja moyo dogo...halafu sio wote lazima tujiajiri mzee mwenzangu,.
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,448 Reaction score 25,833 Jul 12, 2018 #7 kauga JR said: Anapoteza muda, halafu kunavitu atavisoma havita msaidia maishani. Click to expand... ww unajua anaenda kusoma nn?
kauga JR said: Anapoteza muda, halafu kunavitu atavisoma havita msaidia maishani. Click to expand... ww unajua anaenda kusoma nn?
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,684 Reaction score 45,616 Jul 12, 2018 #8 Mr Miller said: ww unajua anaenda kusoma nn? Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]