Chuo binafsi cha computer

mgungani

Member
Joined
May 13, 2022
Posts
38
Reaction score
61
Naulizia chuo gani kizuri kwa mashimo ya computer kwa mwenye elimu ya kidato cha nne.Diploma ya computer sciance .ada nafuu.upatikanaji wa hostel na gharama za maisha.naomba na contact zao.
 
Kwann binafsi tu!?

Si
 
Kilimanjaro inst pale mwenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…