Habari wanajf,
Rejea kichwa cha habari hapo juu,kuna chumba kimoja ambacho ni master,sebule na jiko vinapangishwa kwa bei ya tsh laki moja na elfu arobaini(140,000/=).Hipo tabata kimanga kituo jiandae dk 3 kutoka hapo stand,meter ya luku inajitegemea,ina tiles,gypsum lakini haipo ndani ya fence,kuna bomba la dawasco . 0756 587175.karibuni