Chumba na Sebule Vinapangishwa Kigamboni

Mtumwa baniani

Senior Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
128
Reaction score
26
Wakuu ninapangisha chumba na sebule maeneo ya Tungi Kigamboni kwa kodi ya sh. 60,000 kwa mwezi. Maji na umeme vipo na nyumba ni nzuri.

Mwenye kuhitaji apige: 0686 555726
 
pako poa au ndo kule wanafunzi wa IFM wanaibiwa Laptop zao kila kukicha na kupigwa mapanga
 
mkuu hayo maji na umeme ni bure kivipi?mnaiba izo huduma ama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…