Wakubwa kuna chumba na sebule na choo chake ndani kinapangishwa maeneo ya mbezi beach (ya chini)
kutoka nyumba ilipo na barabara kuu ni 1KM . Hicho chumba na sebule vipo ndani ya fensi gari hata kumi unapark
Bei ni tsh 180,000 wanapokea kwa mwaka. kama utahitaji niPM
Natanguliza shukurani