Kinaitajika chumba na sebule bajeti 100,000/ kwa mwezi choo si lazima kiwe ndani hata cha nje. Nipo tayari kulipa kodi mwaka mzima. Aliyetayari ani pm.
kipo banana mkuu elfu 40 kimoja vyote ni 80 umeme luku kuna vidude vya kusoma matumizi yako ukitumia kidogo unalipa kidogo ukitumia sana unalipa sana kazi kwako huibiwi kama kwingine