Website design
Member
- Sep 8, 2017
- 59
- 266
unazo??
Chumba master plus sebulee afu bei isizidi 45k. .bei ya kawaida isizidi 45000/- kwa mwezi.
kawaida bro !!Chumba master plus sebulee afu bei isizidi 45k. .
Wapii hko mbeya au
ihamishie chumbani mkuu !Huyu jamaa kavamia thread yangu
Una utani na watu mzeeNyumba ipo masaki,
Chumba master (ila choo hakina mlango), sebule (kuna nguzo katkat), jiko (2m×1m), juu gypsum, chini tiles, fence (tofali kozi 2), parking ipo (ila gari haifiki)
Bei 4,500 kwa siku. Ilipwe ya kuanzia siku 180. Njoo PM
Nyumba ipo masaki,