Chumba kinapangishwa Mabibo

mwasubilaamon

Member
Joined
Sep 10, 2020
Posts
8
Reaction score
3
Habari wana JF kwa muhitaji wa chumba kimoja cha kuishi maeneo ya Mabibo anaweza kuwasiliana nami kwa namba 0672087564/0693785860.

Bei ya chumba ni 50,000 kwa mwezi na inatakiwa kulipwa kodi ya miezi sita, chumba kipo jirani na chuo Cha usafirishaji NIT.
 
Gari inafika mpaka nyumba ilipo?
Maana mabibo changamoto take kubwa ni hiyo
 
Weka mapicha natafuta chumba Cha kuangushia mibuyu. Shoka moja mbuyu chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…