Habari Wana jf ,kama kichwa Cha habari kinavyojieleza na chumba kipo maeneo ya mabibo jirani na chuo Cha NIT chumba ni kizuri mazingira ni mazuri na usalama wa kutosha hakuna mwenye nyumba wapo wapangaji tu, Kodi ni miezi sita na 50000 kwa mwezi na 50000 ya dalali, kwa mawasiliano zaidi nicheki 0672087564 au 0754208601.View attachment 1113730View attachment 1113731View attachment 1113733View attachment 1113734
Ndio tatizo la madalali uchwala anapamba kitu kionekane bora kwenye hakuna njaa tu zinawasumbua siwezi tupa elfu 50 hapo hicho chumba stoo? huyo alieishi hapo miaka 10 atakuwa na akili kama za kwako