Amon Mwakyabala
Member
- Feb 7, 2019
- 25
- 9
Anatania kweliYou must be kiddin'. Wakodishie polisi watumie kama extra lockup. Hata bure mtu hawezi ishi kwenye hilo shimo.
Kiukweli mimi mwenyewe huwa sipendi dharau, watu tunaishi kwenye vyumba vibaya kuliko hicho ila hicho chumba sio kwa 50000 bro kuwa seriousKama una nyumba yako upo sahihi lakini Kama huna nyumba basi utakuwa na matatizo kwenye akili aliehama hicho chumb ameishi kwa miaka kumi mpaka kahamia kwake, jiheshimu brother Kama kitu upendezwi wewe basi usiwapotoshe wengine halafu isitoshe hiyo picha ujafika maeneo husika kuangalia,min sio mhuni mwenzio was kupoteza mud mitandaoni naheshima zangu,tuheshimiane kaka samahni Kama nitakuwa nimekukwza kwa kukupa maelezo hayo marefu.asubuhi njema
My love Khantwe... [emoji23][emoji23]Kiukweli mimi mwenyewe huwa sipendi dharau, watu tunaishi kwenye vyumba vibaya kuliko hicho ila hicho chumba sio kwa 50000 bro kuwa serious
Au nimedanganyaMy love Khantwe... [emoji23][emoji23]
Hapana kwa kweli, hapo labda 15000. Mtu akimuonea huruma sana anampa 20000Au nimedanganya
Hata 30000 sio mbaya kwa vile chumba ni kikubwaHapana kwa kweli, hapo labda 15000. Mtu akimuonea huruma sana anampa 20000
Exactly mchumba.Hata 30000 sio mbaya kwa vile chumba ni kikubwa
Exactly mchumba.
Mahali ipo njiani, inakuja unizalie mtoto mzuri kama wewe.Umekomaa tu kuniita mchumba mahari hutaki kuja kutoa [emoji134][emoji134]
Mahali ipo njiani, inakuja unizalie mtoto mzuri kama wewe.
Halafu upande wa pili nashindwa kukupata [emoji85][emoji13][emoji13][emoji13]
Upande wa pili upi? Jaribu tenaHalafu upande wa pili nashindwa kukupata [emoji85]
Bado siwezi, [emoji4]Upande wa pili upi? Jaribu tena