Chumba Kikubwa Self Makongo

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,649
Reaction score
3,817
Kuna chumba kinapangishwa na kipo Makongo juu.

Chumba ni kikubwa, ni self na kipo ndani ya fensi ambayo ina vyumba vingne vitatu

Karibuni
 
wafanyabiashara wa tanzania walio wengi ni wajanja wajanja, hivi kwanini usiweke bei ukamilishe taarifa zako au unapenda kuulizwa ulizwa mara kwa mara?
 
Kuna chumba kinapangishwa na kipo Makongo juu.

Chumba ni kikubwa, ni self na kipo ndani ya fensi ambayo ina vyumba vingne vitatu

Karibuni
Weka picha, mawasiliano pamoja na taarifa zote muhimu kuhusu biashara yako
Bila kufanya hivyo uzi huu utafutwa
 

picha zinanzngua wadau ila rum iko ndani ya fensi kodi ni 150k,

nichek 0714437555
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…