GKM JF-Expert Member Joined Dec 5, 2012 Posts 738 Reaction score 332 Mar 24, 2014 #1 Wakuu habari gani, Natafuta chumba cha kupanga, naomba mwenye nacho aniPM au kama unaweza kuniunganisha na mtu mwenye nacho. Kiwe maeneo ya kinondoni, temeke, sinza au eneo lingine zuri karibu na kko. Natanguliza shukrani za dhati.
Wakuu habari gani, Natafuta chumba cha kupanga, naomba mwenye nacho aniPM au kama unaweza kuniunganisha na mtu mwenye nacho. Kiwe maeneo ya kinondoni, temeke, sinza au eneo lingine zuri karibu na kko. Natanguliza shukrani za dhati.