Mwenye chumba cha kupanga maeneo ya Upanga au Magomeni mapipa i.e karibu na Muhimbili hospital naomba uni contact...
Hata kama ni nyumba ya NHC haina shida
Umeme na maji muhimu
Nikipata self contained ntamshukuru Mungu
Chumba na sebule pia sio Mbaya
Contacts:0657209956
Mawazo ya tija yanakaribishwa
Bei yoyote we taja mm ntafanya analysis
Natanguliza shukrani