Salaam
Kinahitajika chumba kimoja self contained pekee au sebule na chumba self contained maeneo ya ubungo au kimara.
Mhusika:mdada mtu mzima na ni mfanyakazi.
Naomba mnisaidie maana yeye ameniomba nimsaidie kumtafutia na mimi siwajui madalali wa hayo maeneo