A Ashuraju Member Joined Dec 6, 2012 Posts 36 Reaction score 2 Jul 10, 2014 #1 habari zenu, naomba msaada wa chumba cha kupanga,self contained, chumba na sebule,kiwe na tiles au sakafu nzuri. bajeti yangu ni 100,000 nina kodi ya miezi 3.. mwenye taarifa ya dalali mzuri pia nitashukuru
habari zenu, naomba msaada wa chumba cha kupanga,self contained, chumba na sebule,kiwe na tiles au sakafu nzuri. bajeti yangu ni 100,000 nina kodi ya miezi 3.. mwenye taarifa ya dalali mzuri pia nitashukuru
clemence JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 594 Reaction score 212 Jul 10, 2014 #2 Weka wazi eneo ualotaka kupanga mkuu, kama ni kwa mtogole poa tu au?
S SENGATI Senior Member Joined Jan 18, 2013 Posts 127 Reaction score 26 Jul 14, 2014 #3 me nina laki 1 na 30 kwa mwezi, nahitaji chumba(self) na sebule mitaa ya kurasini, nahitaji kwa haraka sana mwezi huu.. kama kuna uwezekano niPM
me nina laki 1 na 30 kwa mwezi, nahitaji chumba(self) na sebule mitaa ya kurasini, nahitaji kwa haraka sana mwezi huu.. kama kuna uwezekano niPM
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,076 Jul 14, 2014 #4 clemence said: Weka wazi eneo ualotaka kupanga mkuu, kama ni kwa mtogole poa tu au? Click to expand... nadhani amenena kwenye heading!
clemence said: Weka wazi eneo ualotaka kupanga mkuu, kama ni kwa mtogole poa tu au? Click to expand... nadhani amenena kwenye heading!
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 6,151 Reaction score 6,449 Jul 14, 2014 #5 Kila la kheri
K kila jr Member Joined Mar 28, 2014 Posts 28 Reaction score 3 Jul 14, 2014 #6 SENGATI said: me nina laki 1 na 30 kwa mwezi, nahitaji chumba(self) na sebule mitaa ya kurasini, nahitaji kwa haraka sana mwezi huu.. kama kuna uwezekano niPM Click to expand... Mdau kurasini kunavunjwa ucje ukatapeliwa na hata hvyo offer yako ndogo labda usogee kijichi
SENGATI said: me nina laki 1 na 30 kwa mwezi, nahitaji chumba(self) na sebule mitaa ya kurasini, nahitaji kwa haraka sana mwezi huu.. kama kuna uwezekano niPM Click to expand... Mdau kurasini kunavunjwa ucje ukatapeliwa na hata hvyo offer yako ndogo labda usogee kijichi
S SENGATI Senior Member Joined Jan 18, 2013 Posts 127 Reaction score 26 Jul 15, 2014 #7 daaah me nafanya kazi posta mitaa ya NBC ni mitaa gani itafaa kukaa kwa location ya ofisi yangu? niko serious
daaah me nafanya kazi posta mitaa ya NBC ni mitaa gani itafaa kukaa kwa location ya ofisi yangu? niko serious
O Old Member (Retired) JF-Expert Member Joined Sep 29, 2012 Posts 3,401 Reaction score 1,618 Jul 17, 2014 #8 SENGATI said: daaah me nafanya kazi posta mitaa ya NBC ni mitaa gani itafaa kukaa kwa location ya ofisi yangu? niko serious Click to expand... kigamboni
SENGATI said: daaah me nafanya kazi posta mitaa ya NBC ni mitaa gani itafaa kukaa kwa location ya ofisi yangu? niko serious Click to expand... kigamboni
Jesuitdon JF-Expert Member Joined Dec 18, 2018 Posts 3,143 Reaction score 2,709 Nov 9, 2020 #9 Kurasini please Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app