Njoo gongolamboto nahama nasepa kesho kutwa,self maji na umeme,nyumba ni executive being 50 per month. 0713715772Habari Natafta chumba Cha kupanga Bei Kama ilivyoelekezwa hapo kiwe na umeme maji y'a karb pia, Marne iwe Dsm si nje sana ya mji n'a pia kiwe karb Na kituo cha daladala au barara isiwe uchochoroni, chmba Cha kujitegemea nitakipa priority kubwa .msaada wenu tafadhali
Gomz sehem gan mkuu na hiyo self n kubwaNjoo gongolamboto nahama nasepa kesho kutwa,self maji na umeme,nyumba ni executive being 50 per month. 0713715772
Gomz sehem gan mkuu na hiyo self n kubwa
Mkuu hii self bado ipo?Njoo gongolamboto nahama nasepa kesho kutwa,self maji na umeme,nyumba ni executive being 50 per month. 0713715772