E El nino jr Member Joined Aug 7, 2014 Posts 66 Reaction score 24 Nov 27, 2017 #1 Habari za asubuhi wana jf,mimi natafuta chumba cha kupanga arusha mjini kisiwe mbali na jengo la OKI kisizidi sh 40000 kma kitapatikana tafadhali ni PM nawasilisha
Habari za asubuhi wana jf,mimi natafuta chumba cha kupanga arusha mjini kisiwe mbali na jengo la OKI kisizidi sh 40000 kma kitapatikana tafadhali ni PM nawasilisha
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,039 Nov 27, 2017 #2 40000? Labda ukapange Same
E El nino jr Member Joined Aug 7, 2014 Posts 66 Reaction score 24 Nov 27, 2017 Thread starter #3 Raphael wa Ureno said: 40000? Labda ukapange Same Click to expand... kwann mkuu