Chumba cha Biashara-Arusha

Twilumba

Platinum Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
13,781
Reaction score
16,930
Kuna mdogo wangu anatafuta chumba kidogo cha ukubwa wa mita 1 hadi 2 upana na urefu mita 3 kwa ajili ya kufanya biashara ya vipodozi na accessories zake.

Kiwe Arusha kwenye eneo zuri kwa maana ya msongamano wa kutosha kwa ajili ya biashara hiyo, kiwe na umeme.

Budget yake ni 50k-200k kwa mwezi itategemea eneo na ubora wa chumba.

Mwenye kujua tafadhali ni mp tuongee!
 
Waungwana nawasikiliza wajameni!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…