Chukua hizi!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
[1]Katika viumbe vyote ni binadamu na dolphin pekee ndio hufanya mapenzi kwa kujistarehesha,wengine hufanya kwa ajili ya uzazi.>>> [2]Ukimkuta Nyati anaoga atajitahidi kadri anavyoweza kukufukuzia,akukamate na akuue kwa sababu anaamini umemchungulia akiwa uchi anaoga. [3]Ukiwakuta nyoka wanajamiiana ni lazima wakufukuzie mpaka nyumbani kwako ili wakuume kwa sababu wanaamini uliwakuta wakiwa uchi wanajamiiana.>>>> [4]Konokono anaweza kutambaa kwenye ncha ya wembe mkali bila kuchanika. [5]Chura hawezi kumeza kitu bila kufumba macho. [6]Jeshi la german linaruhusu wanajeshi mashoga na linawapa uhuru wa kufanya mapenzi wakiwa kambini.
 
Nimeipenda sana aisee
ndo zawadi ya X-Mass?????
Thank you
 

Hapo kwenye red natamani niwakute maana nina siku nyingi sijawahi fanya zoezi la mbio.
 
mh! Haya bana labda ni kupoteza mawazo ya mafuliko
 
Hapo kwenye red natamani niwakute maana nina siku nyingi sijawahi fanya zoezi la mbio.
Mkuu usiombe uwakute,balaa lake ni kama kumuona balali akiwa hai U.S.A halafu uje uropoke bongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…