Choose your weapon Wisely!

Kwenye vita gani? Akiingia kibaka nachukua hiyo ya mwisho
 
tuliambiwa hivi..
"they came with a bible on one hand and the gun on the other hand.."

sasa ikiwa wao walikuja na vyote iweje sisi tuchague kimoja wapo.
 
mmao toa jibu B.je umewahi kuona jambazi anavamia akiwa na hiyo kama silaha au jambazi avamie mfano Bank halafu mkononi awe ana B kama silaha? if no. haipaswi kuweka hiyo B kama silaha.
 
zama hizi kupigana kimwili sio ishu,ase tupambane kiroho.so bible muhimu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…