Hizi mbinu za kupelekana inbox wanazitumia sana matapeliAchana na habari za pm mkuu, we kam unatangaza biashara weka mambo hadharani
Weka namba zako za simuje unajenga? Una mpango wa kujenga? Una eneo dogo unasumbuka kuplan kuweka mashimo ya maji taka toka choon? Je umejenga mahali ambapo water table iko juu sana,hadi umeshndwa kuchmba mashmo ya majataka? Au umejenga lakn unasumbuliwa na kujaa mara kwa mara kwa majitaka na harufu? Ninatengeneza bio digester ni ndogo na iko very effective katk biodegrade uchafu! Kwa ushaur bure nipm.FREE