Chokaa ya kutengenezea Chaki.

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
878
Reaction score
945
Wakuu habari!
Nahitaji chokaa ya kutengenezea chaki, mwenye kuuza hiyo product tuwasiliane Tufanye biashara kwani nahitaji mzigo mkubwa LOL
 
Wakuu habari!
Nahitaji chokaa ya kutengenezea chaki, mwenye kuuza hiyo product tuwasiliane Tufanye biashara kwani nahitaji mzigo mkubwa LOL
Njoo pm tufanye project ya kuchimba chokaa as a small miner's
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…