....interesting indeed!, mbona bora he did it when they were just about to take off, what if they were already 5000ft above the sea?!, mbona ingekuwa patashika nguo kuchanika!
... a passenger on another domestic flight opened the emergency exit moments after his plane landed - deploying the shute - saying that he was in a hurry to get off....
Kwa staili hii wengine wataomba kushushwa kwenye matuta ya juu kwa juu.
Hahaa!, acha Serikali yao iwe concerned about the Image of the country from behavior of travelers
On the other hand, inaweza kuwa ni maendeleo.
Kwamba watu ambayo hawajawahi kupanda ndege wanaanza kupanda sasa kutokana na maendeleo kwenye sekta husika.