Kama tungekuwa na sheria hizi wakina Chenge, Mramba, Lowassa, Mkapa, Mzee Ruksa na mambo ya Loliondo, Ridhiwani, Ngeleja, Kikwete, Luhanjo, Nchemba na wapumbavu wengine saa hizi wangekuwa history katika taifa letu. Na wala Taifa letu lisingefika hapa tulipo