kuna punguani mmoja nimeona ametoa majibu rojorojo kwenye hoja ya posho za wabunge.....eti anaitwa Ndugai.....tungekuwa na sheria inayoagiza kupiga kiberiti mara moja kiongozi yeyote anayeongea upuuzi kwenye mambo ya msingi....ungekuta na sisi tumetuma majivu ya huyu bwana kwao kwa posta na simu...