Du!
hii story ni ya kweli kabisa. Tunatakiwa tufanyekazi kwa bidii ili tujenge uchumi wetu maana si unaona watu (blacks) wanavyozamia Guangzhou na kukosa shughuli za kufanya .... upuuzi mtupu wanafanya! Warudi kwao ili nasi blacks tuheshimike.... usipojiheshimu nani atakuheshimu?
Sina hakika kama ujio wa Obama utaleta badiliko la mitazamo ya kichina kwa watu weusi. We [blacks] ndo tutaleta mabadiliko ya kweli kwa fikra za kichina... maana tunatakiwa kuonesha kuwa tuko fresh...