whatever the case .....its a very good idea for opportunists....ukichunguza kwa makini utagundua kwamba kuna wanyama wengi sana ambao wanapatikana africa tu,lakini wageni wamewabeba na kuwapeleka kwao,na wanapata matunda ya utalii...hata sisi tunaweza tukafanya hivyo kama tunavyohamisha mimea kutoka kwenye bustani zinazopendeza.....mfano mzuri ni Giant Brown bears ambao marekani wanaleta usumbufu sana pale idadi yao inapozidi....wakiwaleta huku wanaweza wakasaidia kuleta kashkash kwenye mbuga,and maybe someday tutapunguza wawindaji haramu kwa kuwaletea "kashkash" waache kutungua tembo wetu,,,,pia it can be ecological beneficial.........mawazo tu!!!