USA anna kazi kkubwa ya kufanya! Kaitummia WB na IMF kuuzinyonya nchi changa sasa hapa nddo patamu!
Wakiunganisha nguvu na Russia, nafikiri hivi vinchi wanavyoviita dunia ya tatu vitachipuka. Tumechoka na ujambazi wa world Bank
Africans hakuna mtu ataondoa our poverty yetu,hizo World bank,IMF or BRICS ni kwa ajiri ya faida yao sio Africans,acheni kujiweka inferior kwa hawa watu na wao walikuwa kama sisi tuu not many yrs ago,honest and hard work itatuondolea umaskini na hakuna short cut.
We need to have our own textiles Industries. Raw materials can feed our own industries. Instead of depending on importation of finished products. Importation always damages our own local industries as well as employment opportunities. We've learnt nothing from China& India instead we are here praising China for his own major breakthrough. that's sucks.The empire is crumbling. Pamoja na mabaya yote lakini China is much better for Africa than the West. Usinikumbushe miaka ya sitini na sabini wakati watu kwenye vijiji vyetu walikuwa wakivaa matambara, kwa vile hawa afford bidhaa za Magharibi zinazotengenezewa middle class pekee. Viatu? Sote tulikuwa twatembea kupe...mafunza kibao! Kwa ajili ya Mchina sasa hata ukienda vijijini na three piece hakuna mtu anayekushangaa.
samahani mkuu hidden agenda .....halafu china anaweka wazi hidden agenda yake auChinese influence katika international aid system imeanza kabla ya hii bank...wengi wamebadilika sana..na mambo ya governance sijui nini wameanza kuyapunguza...wameiga win win strategy ya China...kuna kazi ya mtu nasoma hapa amefanya utafiti wa China in Afrika katika aid system...na mwingine kafanya kuhusu jinsi gani wengi wana follow suit...nipe nikupe...mambo ya jinsi gani unatawala watu wako si kazi yangu...
Na ukichunguza kwanza wote hawa walikuwa si benevolent ...walikuwa na hiden agenda au interest kwenye utoaji wao...ila tofauti ni kuwa China yeye hafichi anaweka wazi...na wao sasa wameacha kuficha
We have (ADB) African Development Bank. Sio mbaya wao kuwa na benki mbadala wa WB and IMF.Africans hakuna mtu ataondoa our poverty yetu,hizo World bank,IMF or BRICS ni kwa ajiri ya faida yao sio Africans,acheni kujiweka inferior kwa hawa watu na wao walikuwa kama sisi tuu not many yrs ago,honest and hard work itatuondolea umaskini na hakuna short cut.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tayari au badi
O
Vp, Bank inaendeleaje?!China is coming it's unstoppable.
Angalia hio linkVp, Bank inaendeleaje?!