MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
kushughulika na ufisadi na aina yeyote ya ukiukwaji wa utawala bora, kunaanzia kwenye katiba bora. Si unajua tayari MAGAMBA yameichakachua rasimu ya katiba iliyokuwa imebeba maoni muhimu ya wananchi,--vikiwemo vipengele vya maadili ya utumishi wa uma pia miiko ya uongozi,wananchi kuchukua hatu pindi wanapozinguliwa na mbunge wao, kinga ya kutoshtakiwa n.k n.k,n.k. Kwa kuwa wamefanya udhalimu mwingi kwa taifa hili, sasa wanakomaa kuipitisha katiba mbovu ambayo itawalinda popote pale na kwa mda wowote ule (pindi wawapo madarakani na hata wakistaafu),na vile vile kuwapa wigo mpana wa kuendelea kufisad nchi pasipoi shaka yeyote. Hii nchi ni tofauti kabisa na china na kamwe haiwezi hata robo kufanana na china. Kuna mwimbaji anasema "MBUZI NI MBUZI HAWEZI KUWA SIMBA"
Hao wasafi wa kuwashughulikia mafisadi wako wapi ndani ya ccm? Tanzania haitaji tena ku overhaul engine yake (chama tawala) bali kuweka engine mpya ili safari iendelee!
Basil Mramba
Andrew Chenge
Edward Lowasa
Rostam Aziz
Amandus
Mary Ndossi
William Ngeleja
Prof.Tibaijuka
Shaban Gurumo
Prof.Muhongo
If we cant act like how successful countries acts, then we are just playing games, corruption, and theft won't stop in our country
Mtoe Lowassa hapo kwenye kundi la Majangili... Muongeze Yona, Mkapa, Karamagi, Sitta, Membe, Pinda, Nchemba, Kigoda, Prezzo, Moto Mubanga, Sethi, James Rugemalira... Hawa walistahili kunyongwa hadi kufa ...