China - EX Security chief jailed for life

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,289
Reaction score
1,426
Aliekuwa mkuu wa usalama wa China ,Zhou Yongkang amefungwa kifungo cha maisha kutokana na rushwa ,matumizi mabaya ya ofisi pamoja na kuvujisha siri.

Inasemakana alikuwa mtu mkubwa sana katika rerikali ya China, Je watanzania tutawezakufunga vigogo wala rushwa , ni mara ngapi serikali inabwaga mahakamani katika kesi za rushwa.

Afadhali JK ningempa heshima kama angetangaza na mambo mengine ambayo ameshidwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…