View attachment 2972665Children Hope Organization ni shirika lisilo la kiserikali, limeundwa na bodi ya Wakurugenzi 5 wenye Nia ya kulisaidia Taifa katika kuleta maendeleo katika jamii kupitia ufadhili wa mtoto, hivyo bodi ya Wakurugenzi inaomba raia watakaowiwa kufanya kazi nasi katika kuleta maendeleo katika jamii zetu Tanzania.
Nafasi za management
1. Sponsorship and child well being officer
2. Development and engagement officer
3. DM&E officer
4. Project coordinator
5. Education Facilitator
Wasiliana nasi kupitia children_hope@yahoo.com/monksibanda@gmail.com au Kwa mawasiliano 0743854820/0623690833
Pia Usajili wa uanachama wa Children Hope Organization unapatikana Kwa ada nafuu Kwa Kila mtanzania.
Link to Instagram Login • Instagram