Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,837
HAKIKA kijana ameeleza ukweli,Mungu atamsaidia atasimama upya,kwanza ameonyesha kuwa sasa anajitambua, Babu Tale anastahili KUMUOMBA radhi Chid Benz,HAKIKA amemdhalilisha, Tale anatakiwa KUWA kama Dr,anapoona AIBU ya mgonjwa sio vema kuiweka hadharani,ni inhumanity !Msanii aliyekuwa ameathirika na madawa Chid Benz akiwa anahojiwa Clouds amemdiss meneja wa WCB Bab Tale kwenda kumtangaza ameshindikana na amerudia tena madawa
Amesema kama alimuona anafanya jambo ambalo sio angemuambia na sio kukaa kimya kisha kwenda kuongea mbovu