Kabagala Member Joined Sep 2, 2014 Posts 10 Reaction score 17 Jun 24, 2020 #1 Habari wana jamii, mimi ni nina elimu ya kidato cha nne ya 2009, lakini mpaka sasa sijachukua cheti changu, nawezaje kukipata kwa urahisi? Je, nikienda shule niliyosomea nitakipata?
Habari wana jamii, mimi ni nina elimu ya kidato cha nne ya 2009, lakini mpaka sasa sijachukua cheti changu, nawezaje kukipata kwa urahisi? Je, nikienda shule niliyosomea nitakipata?
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,121 Reaction score 14,032 Jun 24, 2020 #2 Ndiyo utakipata.
Goddess JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 7,397 Reaction score 25,836 Jun 24, 2020 #3 Nenda shule uliosoma
Kabagala Member Joined Sep 2, 2014 Posts 10 Reaction score 17 Jun 24, 2020 Thread starter #4 Drone Camera said: Ndiyo utakipata. Click to expand... Asante sana
Kabagala Member Joined Sep 2, 2014 Posts 10 Reaction score 17 Jun 24, 2020 Thread starter #5 Goddess said: Nenda shule uliosoma Click to expand... Asanta sana
akatanyukuile JF-Expert Member Joined Sep 13, 2019 Posts 314 Reaction score 308 Jun 24, 2020 #6 Mpaka Baraza baada ya miaka minne vyeti vyote hurudishwa Baraza
Kabagala Member Joined Sep 2, 2014 Posts 10 Reaction score 17 Jun 24, 2020 Thread starter #7 akatanyukuile said: Mpaka baraza baada ya miaka minne vyeti vyote hurudishwa baraza Click to expand... Heee sasa hapo nafanyaje mkuu
akatanyukuile said: Mpaka baraza baada ya miaka minne vyeti vyote hurudishwa baraza Click to expand... Heee sasa hapo nafanyaje mkuu
Drone Camera JF-Expert Member Joined Jul 25, 2017 Posts 14,121 Reaction score 14,032 Jun 24, 2020 #8 akatanyukuile said: Mpaka baraza baada ya miaka minne vyeti vyote hurudishwa baraza Click to expand... So kama kuna madeni unatakiwa ulipe shule inakuwaje?
akatanyukuile said: Mpaka baraza baada ya miaka minne vyeti vyote hurudishwa baraza Click to expand... So kama kuna madeni unatakiwa ulipe shule inakuwaje?