MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
kwahiyo hizo chenji huwa mnachukua ili mkanunulie vitumbua vingine kesho? sa we mwanaume mzima unaondoka na chenji ya vishilingi ili iweje, ndo mkome
Kuna Mshikaji wetu alikutwa na 1 akajitetea eti 2 walizifungua palepale kwenye semina facilitator alipokuwa anawaelekeza jinsi ya kuvaa na kuvua kwa usalama. Wife akajaa mzimamzima.
Sasa chenji mnabakisha ya nini
? Mnakuwa mmeishiwa nguvu au njaaa imewakamata?
Au unaenda mringishia mpenzio or mkeo unajua kubana matumizi ?