RASCO BOY JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 428 Reaction score 485 Nov 8, 2018 #1 Baada ya MAN U kumfunga Juventus hapo jana ni rasmi sasa CHELSEA ndiyo timu pekee katika Ligi 5 bora Ulaya ambayo haijapoteza mchezo wowote tangu kuanza kwa msimu wa 2018/2019 katika mashindano yote
Baada ya MAN U kumfunga Juventus hapo jana ni rasmi sasa CHELSEA ndiyo timu pekee katika Ligi 5 bora Ulaya ambayo haijapoteza mchezo wowote tangu kuanza kwa msimu wa 2018/2019 katika mashindano yote
Goodluck Mchika JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 1,228 Reaction score 1,143 Nov 8, 2018 #2 Sawa sawa
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,009 Nov 8, 2018 #3 inaongoza ligi gani ?
B Baba Kiki JF-Expert Member Joined May 31, 2012 Posts 1,544 Reaction score 943 Nov 8, 2018 #4 MO11 said: inaongoza ligi gani ? Click to expand... Ya kutokufungwa
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3,059 Reaction score 2,161 Nov 8, 2018 #5 Ukikosa ndege basi hata baiskeli ujivunie.
RASCO BOY JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 428 Reaction score 485 Nov 8, 2018 Thread starter #6 delako said: Ukikosa ndege basi hata baiskeli ujivunie. Click to expand... Sanaa yani kila mtu ujivunia kile alichonacho
delako said: Ukikosa ndege basi hata baiskeli ujivunie. Click to expand... Sanaa yani kila mtu ujivunia kile alichonacho
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,307 Reaction score 40,941 Nov 8, 2018 #7 Atabikiliwa tu
Bukali JF-Expert Member Joined May 7, 2018 Posts 1,265 Reaction score 839 Nov 8, 2018 #8 Kwani kasha kutana na Man city, Liverpool, Hatawale watakao shuka championship watamtoboa tu.
RASCO BOY JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 428 Reaction score 485 Nov 8, 2018 Thread starter #9 Bukali said: Kwani kasha kutana na Man city, Liverpool, Hatawale watakao shuka championship watamtoboa tu. Click to expand... Liverpool tayari kajitaidi kapata sate na mechi moja nimemgonga kwake team iliyobaki ni Man City tu
Bukali said: Kwani kasha kutana na Man city, Liverpool, Hatawale watakao shuka championship watamtoboa tu. Click to expand... Liverpool tayari kajitaidi kapata sate na mechi moja nimemgonga kwake team iliyobaki ni Man City tu
T the muter JF-Expert Member Joined Oct 31, 2012 Posts 1,371 Reaction score 1,865 Nov 10, 2018 #10 cheza uefa ukutane na juve au barca, madrd, psg, at madrid au buyern. Hapo ukijisifia hujapoteza game una haki sio kucheza na Bate barisov
cheza uefa ukutane na juve au barca, madrd, psg, at madrid au buyern. Hapo ukijisifia hujapoteza game una haki sio kucheza na Bate barisov