MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,570
- 6,792
Analindwa na Ukweli ndio maana hayumbi! Lowassa ana hangaika nae lakini atashindwa. Marry Chatanda tunataka msimamo huo,wale wanamgambo wanao vaa magwanda walijua watashinda suala la Umeya Arusha ukawashinda pamoja na vibaraka wao maaskofu ukawambia wavue magauni yao waingie kwenye siasa! Magwana na Vidole viwili waliandamana hawakufua dafu na bado Meya Lyimo ana dunda bila tatizo,vidiwani vyao vikaleta mikwala ya dog eti kususia vikao lakini Meya yupo! Sasa amekuja Lowassa akimtumia Kibaraka wake Millya nae atashindwa na utaendelea kuwepo arusha kwa sababu unalindwa na Ukweli! Viva chatanda kiboko cha Magwanda,Lowassa na Wavaa Majoho!
Analindwa na Ukweli ndio maana hayumbi! Lowassa ana hangaika nae lakini atashindwa. Marry Chatanda tunataka msimamo huo,wale wanamgambo wanao vaa magwanda walijua watashinda suala la Umeya Arusha ukawashinda pamoja na vibaraka wao maaskofu ukawambia wavue magauni yao waingie kwenye siasa! Magwanda na Vidole viwili waliandamana hawakufua dafu na bado Meya Lyimo ana dunda bila tatizo,vidiwani vyao vikaleta mikwala ya dog eti kususia vikao lakini Meya yupo! Sasa amekuja Lowassa akimtumia Kibaraka wake Millya nae atashindwa na utaendelea kuwepo arusha kwa sababu unalindwa na Ukweli! Viva chatanda kiboko cha Magwanda,Lowassa na Wavaa
Majoho!
Baada ya malalamiko ya Chadema kuhusu chatanda kule arusha kusikika, wazalenda wachache ndani ya chama cha magamba waliliona hilo nakuvalia njuga kuwa mama huyu aondelewe huko. Cha ajabu wazalendo hawa wameishia kupewa "onyo kali" na wavaa magamba ndani ya chama hiki? Sasa mimi nashindwa kuelewa, Huyu mama amewekwa na nani huku harusha? Maana mabaya aliyofanya yako hadharani lakini bada inaonyesha anapigiwa makofi na magamba tusiyoyajua yako wapi? naombeni maoni wana jf

Mimi binafsi bado namtaka aendelee kuwa Arusha kwavile ana mchango mkubwa kwa demokrasia nje ya magamba. Nashukuru hata nyie magamba madogo madogo mnaojipendekeza mmetambua kuwa haelewani na Lowasa, Millya na wengineo. Ufahamu unapomtaja EL na Millya sio wa2 tu, kuna kundi kubwa nyuma yao. Lakini tunataka zaidi ya hapo, asielewane na magamba mengine makubwa makubwa ya nchi hii ili tutengeneze demokrasia ya ukweli na tuachane na magamba. Alipoondoka Makamba Senior tulisikitika kwavile alitusaidia kuwaonyesha watz true colours za magamba. Tukajaliwa kumpata Kitanda, na kimsingi tunahitaji vitanda zaidi kutoka humo humo kwenye magamba ili wananchi waendelee kuyajua magamba kwa rangi zao halisi. Hebu mlioko huko tutafutieni magamba mengine ya type hiyo tuyape kazi.Analindwa na Ukweli ndio maana hayumbi! Lowassa ana hangaika nae lakini atashindwa. Marry Chatanda tunataka msimamo huo,wale wanamgambo wanao vaa magwanda walijua watashinda suala la Umeya Arusha ukawashinda pamoja na vibaraka wao maaskofu ukawambia wavue magauni yao waingie kwenye siasa! Magwanda na Vidole viwili waliandamana hawakufua dafu na bado Meya Lyimo ana dunda bila tatizo,vidiwani vyao vikaleta mikwala ya dog eti kususia vikao lakini Meya yupo! Sasa amekuja Lowassa akimtumia Kibaraka wake Millya nae atashindwa na utaendelea kuwepo arusha kwa sababu unalindwa na Ukweli! Viva chatanda kiboko cha Magwanda,Lowassa na Wavaa Majoho!
Baada ya malalamiko ya Chadema kuhusu chatanda kule arusha kusikika, wazalenda wachache ndani ya chama cha magamba waliliona hilo nakuvalia njuga kuwa mama huyu aondelewe huko. Cha ajabu wazalendo hawa wameishia kupewa "onyo kali" na wavaa magamba ndani ya chama hiki? Sasa mimi nashindwa kuelewa, Huyu mama amewekwa na nani huku harusha? Maana mabaya aliyofanya yako hadharani lakini bada inaonyesha anapigiwa makofi na magamba tusiyoyajua yako wapi? naombeni maoni wana jf
Anaulinzi mkubwa sana nawaombeni mmwache tu ila ni Kati ya watt wanaoimaliza ccm Arusha pia ni furaha kwa chadema waendelee tu kumwacha wala wasimwondoe maana anakiburi kikubwa mno.Ni kiburudisho cha magamba makubwa makubwa.
Mgongo halisi.....Wewe unaonesha kabisa ni CDM, sasa mambo ya CCM yanakuwashia nini? chundu kwelikweli wewe!Baada ya malalamiko ya Chadema kuhusu chatanda kule arusha kusikika, wazalenda wachache ndani ya chama cha magamba waliliona hilo nakuvalia njuga kuwa mama huyu aondelewe huko. Cha ajabu wazalendo hawa wameishia kupewa "onyo kali" na wavaa magamba ndani ya chama hiki? Sasa mimi nashindwa kuelewa, Huyu mama amewekwa na nani huku harusha? Maana mabaya aliyofanya yako hadharani lakini bada inaonyesha anapigiwa makofi na magamba tusiyoyajua yako wapi? naombeni maoni wana jf