Chapa tozo kila kona!

na sharubu zake kama kambare. Yani huyu mwamba inaelekea alipokuwa anasoma alikuwa mtu wa kukariri topic moja tu. Ikitokea kwenye mtihani maswali ya topic aliyokariri hayajatoka basi anajibu kwa kutumia kile kile alichokariri hata kama hakiendani.

Kwa sasa amekariri tozo tu kwahiyo akili yake ina jibu moja tu, tozo. Akiulizwa leo dawa ya ukimwi nini atakwambia tozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…