Wakuu, baadaa ya kutafuta sana mtandaoni bila mafanikio mazuri nimeona bora niulize huku... Katika web browsers kuna plugins zinazo wezesha kubadilisha user-agent yani kama Google Chrome, ionekane kama internet explorer katika requests zake au browser yeyote nyingine... Swali langu nikua, hakuna anyway ya kuchange User-Agent ya program ambayo sio browser wakati inafanya HTTP requests? kama kuna a proxy program ya kusetup kama interception proxy au vp, nilipata PRIVOXY lakini haikuweza kufanya hyo kitu... Msaada wakuu,
Mfano chrome User-Agent ni kama hivi:
Mozilla/5.0 (Windows NT 6.3; WOW64) AppleWebKit/537.36 (KHTML, like Gecko) Chrome/31.0.1650.57 Safari/537.36
Nahitaji msaada nafanya research with something kwenye TG...