Huyo fundi Muongo, hiyo inatumia tonner za ricoh ambayo ndio nashuatec just majina hizo tonner zinejaa mitaani.
Hiyo kitu ni nzuri kwanza matumizi ya wino ni tofauti na canon canon ina mwaga wino mwingi kama waste tonner lkn hiyo ricoh ni kama haimwagi kabisa yaani naweza sema ni kama haina waste tonner.
Pia haiharibiki ovyo alafu spea zake zote zinapatikana tofauti na canon.
Wewe unaeuza hiyo kitu tumia mafundi wa bmtl ndio wanazijua hizo mashine kuliko mafundi wowote. Au uni pm ntakuunganisha nao popote ulipo kwa ushauri ata kuiuza.