Naomba unisaidie majibu kwanza kabla hatujaanza kutwanga simu:-
- Kiwanja kina ukubwa gani?
- Je, eneo lililopo halipo kwenye huu mpango wa Serikali wa kujenga mji mpya?
- Eneo ambalo kiwanja kipo ni eneo lililotengwa kwa matumizi gani??
- Wewe ni dalali au muuzaji?
Asante sana