Chanel Ten wamerudia tena?????

Me hata mawingu naona nao wanadalili za usaliti acha wapatwe tena

Da killer's
 
channel 10, ni channel bashite sasahivi
 
Wamerusha tena habari za baba wa Dsm wakati TEF walipiga marufuku sasa sijui inakuwaje?

Au ndo kutafuta uhenga????

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app

TEF wanataka kuua biashara za watu halafu watu wakikosa kazi wataanza kulalamika. Hiyo Channel 10 ni mali ya TEF? Nani analipa mishahara ya wafanyakazi wa Channel 10, TEF?

Halafu hao TEF washamba sana, wajifunze kwa wenzao CNN wanatukanwa na kuitwa FAKE NEWS kila siku na Trump lakini bado wanaendelea kutoa habari zake. Sifa moja ya mwandishi wa habari (sio kanjanja) ni kutokuwa sehemu ya habari. Hisia au ugumvi na chanzo cha taarifa hakutakiwi kuingilia utoaji taarifa kwa umma.
 
Walitegemea dogo atapigwa chini lakini ndio kwanza Mzee anampa kiki ya kuhakikisha anakaa dsm.
Wanasoma harama za nyakati walianza Tbc,star tv na sasa channel ten mwisho watajikuta clouds wamebaki wenyewe..

Sent from my SM-N920L using JamiiForums mobile app
 
Siku ITV ikionyesha ndo ntajua uyu jua anaweza kushika kila sekta

sent from my iPhone 6
 
Chaneli ten walitakiwa kukaa pamoja na wenzao wazungumze, mwandishi wao aliuwawa na polisi waandishi wa habari wenzao walionyesha ushirikiano sana, sasa wao hawakumbuki kua kujitenga na wenzao ipo siku yatawakuta.
Hawamtegemei mtu wanamtegemea mungu. Kwani ushirikiano ulisaidia kumrudisha mwangosi duniani zaidi ya kutafuta kiki za kisasa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawamtegemei mtu wanamtegemea mungu. Kwani ushirikiano ulisaidia kumrudisha mwangosi duniani zaidi ya kutafuta kiki za kisasa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu gani? Kwa hiyo mungu ndio anapeleka matangazo pale, mungu ndio anawatuma kufanya wanayofanya? Kama ndio hivyo basi mungu ndio aliwatuma wamtume mwangosi akauwawe sio, huyo mungu wanaemtegemea atakua hana akili.

Acha mawazo ya hovyo hovyo mungu hayupo.
 
Acha waendelee na usaliti, siku yakiwafika wasijelialia
 
Channel ten nimeifuta kwenye channel zangu za kutazama. huwa ninachukia wasaliti mimi

sent from servant of God

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…