Chanel Ten wamerudia tena?????

Chaneli si ya kwao wao chaneli ten?? sielewi hizi debate za kiufipa zinatoka wapi!
kwani Kimambi Mange nae anasemaje semaje kuhusu hili??
 
Tukutane IJUMAA tarehe saa 2200 na Paul Makonda kupitia CHANEL TEN
[HASHTAG]#SemaKweli[/HASHTAG]
 
Akili za kuambiwa changanya na za kwako

Post sent using JamiiForums mobile app
 
TEF haina uwezo kuizuia chanbel ten kuonesha kile wanachokitakata, kufanya hivyo itakua ni kinyume na haki za binadamu
Haki ya kupata habari ni ya kila mtu
 
Hata wamuonyeshe.... Kodi watalipa tu.
 
Kamwe, Njaaa haijawahi kumwacha mtu / mwandishi wa habari akiwa salama.

Njaa haina baunsa wala mtunisha misuli.
 
Chaneli ten walitakiwa kukaa pamoja na wenzao wazungumze, mwandishi wao aliuwawa na polisi waandishi wa habari wenzao walionyesha ushirikiano sana, sasa wao hawakumbuki kua kujitenga na wenzao ipo siku yatawakuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…