GE2020 Chama kinamkana mgombea?

Mbowe na genge lake wanafahamu jinsi Lissu anavyoharibu umoja wa kikundi chao, sasa hivi kila mtanzania anajua lisu ni kibaraka. Kibaya Lisu kukaa belgium kimemuondolea uzalendo.
Sawa kabisa maana kwa risasi zile alitakiwa afe sasa yeye kakimbilia kutibiwa ubeligiji. Huo sio uzalendo kabisa. Yaani mtu unagoma kabisa kufwa daaah lazima utakuwa kibaraka
 
Kuna wakati mwingine, viongozi wanaweza kukataa kusikiliza ushauri hata kama wajumbe wanalo bora zaidi mfano mzuri ni mwenyekiti wa ccm, kwa hio kwao vitu kama hivi ni vidogo vidogo vya kitabia
 
Halafu mkuu uko sahihi, uyu chuma atalazimisha kuchaguliwa halafu baadae ndio ahamie gereji ya JKCI milele
Vipi mmeshatoka garage au Lissu aje na spana zingine , au gari imekuwa screpa haifai tusipoteze mda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…