bwegebwege
JF-Expert Member
- Jul 30, 2010
- 1,071
- 185
Acha uzinzi wewe
njugu mawe
Nasikia thupu ya pweza imetulia kwa wanaume sijui kwa kina dada.
Wajameni, nawasalimu kwa jina la JF!
Nimeulizwa haya maswali nikakwama kwa kwleli, jamaa anasema hivi, ukiacha mazoezi (tusizungumzie madawa hapa) je;
- Ni vyakula gani vinasaidia mtu kufanya mapenzi kwa muda mrefu bila kukojoa na vyakula gani vinaongeza stamina wakati wa kufanya tendo la ndoa (WANAUME)
- Ni vyakula gani vinaongeza nyege na hamu ya kufanya mapenzi kwa WANAWAKE?
Nawasilisha, kwa wenye info basi waweke hadharani kwa faida ya wote.
Weekend njema
Mimi sio daktari ila najua machache kuhusiana na hili, Napenda JF tuwe watu wakusaidiana ki mawazo pale mwenzetu anapoleta tatizo linalo hitaji msaada kama jinsi alivyowasilisha mwenzetu. Tukumbuke kuwa kuna tatizo kubwa kwa wanaume la kutotenda vema jukumu kitandani. Mwenye msaada atoe na si kurusha lugha za kejeli.
Mimi najua dawa mbili za kiasili ambazo zote zinafanya kazi vizuri sana kwa mwanaume.
1. Kuna juice ya tende.
Hii unachambua tende kwa kutoa kokwa halafu una saga kwenye blender kwa kuchanganya na maziwa.
- Ukishasaga unakunywa juice kiasi cha glass 1 au 2 kutokana na kiasi kilicho patikani kwenye kusaga huko.
- Unaweza kutumia mara 2 au 3 kwa kutwa kwa muda wa wiki moja, mbili, tatu nakuendelea kutokana na uwezo wako wa kupata tende na maziwa na kimsingi dawa hii inatakiwa kuwa endelevu kila baada kipindi fulani huku ukifanya mazoezi kama kawaida.
*Ni dawa nzuri sana inayotibu hata gesi za tumbo na magonjwa mengine ya tumbo ila kikubwa ni dawa nzuri sana ya kurejesha heshima kitandani unayoweza kutengeneza mwenyewe na kuepuka matapeli na unaweza kuihifadhi hata kwenye jokofu.
2. Ni supu ya pweza ambayo imekuwa maarufu sana kwa watu wa pwani.
- Hii unaweza kutembelea maeneo ambayo supu hiyo inatengenezwa na kununua bakuli zako kadhaa na kunywa hapo hapo kwa muda wa wiki 1,2,3 na kuendelea kutokana na nafasi yako na uwezo wako wa kipato. tukumbuke kujitunza hata kama huna tatizo ni muhimu sana kwa kutumia dawa hizi za kiasili maana hazina madhara lakini zina faida nyingi mwilini mwetu.
Naomba kuwasilisha.
**Ila yupo jamaa mmoja alisha wahi kutamka kuhusu dawa ya tangawizi na mchicha mwenye ufahamu juu ya hili amsaidie mwenzetu na wengine wote wenye tatizo kama la kwake na wagonjwa wengine watarajiwa maana miili ni yetu lakini matatizo ni yetu sote.
Ndugu shukrani kwa ushauri mzito. Nadhani dawa/tiba ya kienyeji ni nzuri kuliko madawa na kadhalika! Ngoja nianze na hii ya tende za maziwa maana nipo mahala ambapo upatikanaji wame ni mzuri
pia usisahau mazoezi ya viungo ili kuuweka sawa mzunguko wa damu mwilini bandugu...