Naunga mikono yote miwili[emoji113][emoji1672]Barua yangu ya wazi kwa Mh Freeman Akaeli Mbowe.
Mheshimiwa shaloom! Nilifurahi sana pale nilipo kuwa club house Rose mayemba akasoma ujumbe wakuwa upo huru pamoja na waliyo tarajia kuwa walinzi wako.
Maneno yangu yanaweza yasiwe na uzito kutokana na nafasi yangu ya kisiasa. Ninakushauri wewe pamoja na kamati Kuu iwapendeze hao walinzi kama hawatojali na wakikubali kazi yao ya kukulinda isikome ndiyo muwaajiri.
Ikiwapendeza omba kwa watanzania ombi maalumu la kuwajengea na kuwanunulia viwanja ambavyo vitajengwa majengo matatu ili wakiona majengo hayo na nyumba hizo watakumbuka haki huinua taifa ila dhambi ni aibu kwa watu wowote.
Nitafuhari na watanzania wapenda haki na upendo hakika litawafuta majonzi na kuwapa matumaini kumalizia safari ilio karibu ya ukombozi.
Wazo jema; ila waajiriwe tu. Mambo mengine ikiwa pamoja na motisha yatafuata wakitimiza matakwa ya ajira.Barua yangu ya wazi kwa Mh Freeman Akaeli Mbowe.
Mheshimiwa shaloom! Nilifurahi sana pale nilipo kuwa club house Rose mayemba akasoma ujumbe wakuwa upo huru pamoja na waliyo tarajia kuwa walinzi wako.
Maneno yangu yanaweza yasiwe na uzito kutokana na nafasi yangu ya kisiasa. Ninakushauri wewe pamoja na kamati Kuu iwapendeze hao walinzi kama hawatojali na wakikubali kazi yao ya kukulinda isikome ndiyo muwaajiri.
Ikiwapendeza omba kwa watanzania ombi maalumu la kuwajengea na kuwanunulia viwanja ambavyo vitajengwa majengo matatu ili wakiona majengo hayo na nyumba hizo watakumbuka haki huinua taifa ila dhambi ni aibu kwa watu wowote.
Nitafuhari na watanzania wapenda haki na upendo hakika litawafuta majonzi na kuwapa matumaini kumalizia safari ilio karibu ya ukombozi.
Huwezi kuita wahalifu kwakuwa bado they are innocent util they proven guilty by the court of lawChama hakina Ofisi ya makao makuu, wajengewe nyumba hao wahalifu? Hawana nidhamu mpaka Jeshi likawafukuza? .
Sabodo aliwapa Chadema milioni 500 kujenga Ofisi miaka karibu saba iliyopita, ulishaona hata wamenunua misumari?
Una mawazo mgando. Unawaita wahalifu?!!Chama hakina Ofisi ya makao makuu, wajengewe nyumba hao wahalifu? Hawana nidhamu mpaka Jeshi likawafukuza? .
Sabodo aliwapa Chadema milioni 500 kujenga Ofisi miaka karibu saba iliyopita, ulishaona hata wamenunua misumari?
MÀTAGA hawezi kukuelewa.Una mawazo mgando. Unawaita wahalifu?!!
Kwa Kaburu Pick Bortha Mandela alikuwa gaidi, baadae akawa Rais. Kwa Ian Smith Mugabe alikuwa Gaidi baadae akawa Rais, Hapa Tanzania kwa Gavana mkoloni Nyerere aliwahi kuwa gaidi baadae Rais, Jary Rawling, Fidel Castro na wengine wengi tu urais wameupatia mlango wa jela. Chama ni watu sio majengo. Ingekuwa chama ni majengo CCM mgekuwa na wanachama hata milioni 55. We chukua Ccm Kirumba, Kambarage shinyanga, sokoine mbeya, samora sumbawanga, karume Arusha, Ali Hasan Tabora, Majimaji songea bado mna wanachama milioni 18 tu, tena hapo data zimepikwa kwa mkaa wa mawe!
Swali la msingi sana hiliChama hakina Ofisi ya makao makuu, wajengewe nyumba hao wahalifu? Hawana nidhamu mpaka Jeshi likawafukuza? .
Sabodo aliwapa Chadema milioni 500 kujenga Ofisi miaka karibu saba iliyopita, ulishaona hata wamenunua misumari?
Hongera sana ndugu ninaamini wahusika wataliona hili wazo ni zuri sana kwani yataponya madhila waliyoyapataBarua yangu ya wazi kwa Mh Freeman Akaeli Mbowe.