CHADEMA yawasha moto Miono

Richard Robert

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
632
Reaction score
340
Leo jioni uongozi wa wilaya ya Bagamoyo kwa kushirikiana na viongozi wa jimbo la Chalinze umezindua kampeni za serikali za vijiji na vitongoji katika kata ya Miono.

Hii ni sehemu ya mikutano inayofanywa na timu kumi za kampeni zinazozunguka wilaya nzima.

Viongozi waliohutubia:
1. Mbalase - Mwenyekiti wa wilaya.
2. Mathayo Torongey - aliyekuwa mgombea chalinze;
3. Idd ucheche - Katibu;
4. Asha - katibu mwenezi jimbo
 
CHADEMA ni Mpango wa Mungu,yeyote aendae kinyume nao ni Agent wa Ibilisi.
 
Hii inanikumbusha CHOPA TATU, KATA TATU, haya yatajirudia tena safari hii!
 
CHADEMA ni Mpango wa Mungu,yeyote aendae kinyume nao ni Agent wa Ibilisi.

Mbona Zitto alienda "kinyume" na "mpango wa Mungu" ila juzi mlimsifia bungeni? na wote mkaufyata? mpaka Mwenyekiti Mbowe?
 
Mbona Zitto alienda "kinyume" na "mpango wa Mungu" ila juzi mlimsifia bungeni? na wote mkaufyata? mpaka Mwenyekiti Mbowe?

Ummy Mwalimu upo ?
 
Wacha wakamilishe utaratibu kura zote CCM.
 
Mbona Zitto alienda "kinyume" na "mpango wa Mungu" ila juzi mlimsifia bungeni? na wote mkaufyata? mpaka Mwenyekiti Mbowe?

Utakuwa na mtindio wa ubongo wewe si bure!
 
Attachments

  • 1417638357725.jpg
    69.2 KB · Views: 340
  • 1417638407744.jpg
    82.4 KB · Views: 358
  • 1417638473125.jpg
    117.8 KB · Views: 295

Attachments

  • 1417640648861.jpg
    87.6 KB · Views: 216
  • 1417640722765.jpg
    61.6 KB · Views: 219
  • 1417640745821.jpg
    77.6 KB · Views: 210
  • 1417640807353.jpg
    99.2 KB · Views: 198
  • 1417640868746.jpg
    61.8 KB · Views: 197
  • 1417640896259.jpg
    61.9 KB · Views: 203

Attachments

  • 1417641079523.jpg
    76.5 KB · Views: 228
  • 1417641118631.jpg
    88.4 KB · Views: 210
  • 1417641151245.jpg
    72.5 KB · Views: 210
Mbona Zitto alienda "kinyume" na "mpango wa Mungu" ila juzi mlimsifia bungeni? na wote mkaufyata? mpaka Mwenyekiti Mbowe?

Bado sijajua mtu kama ww unalipwa bei gani!!! Maana upo hapa kila siku kupangua hoja za chadema. Mpaka unaboa.. Yaani huo ni ungese
 
We jina lenyewe msalani unafikiri atatoa nini kama si.................
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…