CHADEMA with desparate politics

Hamna tofauti na vibaka wawili wanaoigiza kugombana ili wawaibie wasamalia wema.Mmoja anajifanya yupo CUF na mwingine anajidai yupo CHADEMA, ila wenye malengo yanayofanana,nalo ni kuvuruga UKAWA.
 
Mngekuwa smart mngeufyata mpaka gas ikatoka, ooh haitoki yako wapi. Na mtaendelea kuwa wa mwisho kiuchumi licha ya gas mpaka mjitambue

Ha hah ha ha

You must be so so craizy,,

wewe unadhani sisi tulikuwa tunasema kwamba haitoki with NO REASON??

TULIKUWA TUNA AJENDA ZETU AMBAZO TULIKUWA TUNAHITAJI MAJIBU YA KIVITENDO,,

SASA KAMA AJENDA ZETU ZIMEANZA KUSHUGHULIKIWA UNADHAN SISI TUNAWEZA KUWA WAPUUZ KAMA WATU WA ARUSHA WANAOANDAMANISHWA NA WANASIASA KWA MASLAHI YA CHADEMA??

SISI TUNAJUA TUNACHOKIFANYA,,

ETI TUTAENDELEA KUWA NYUMA,,THUBUTUUUU...!!!

NJOOO MTWARA UJIONEE MATUNDA YA HARAKATI ZETU,,NA BADO TUNADEMAND MORE...


MAKONDE PEOPLE WE ARE SMARTER THAN THAT...

TOKEA LINI MCHAGA WA CHADEMA AKAPEWA HATAMU YA KUONGOZA WAMAKONDE??

MAKONDE LAND IS OURS...

CHAGALAND IS YOURS...

MIND YOUR BZNESS...
 
CHADEMA inataka kuhakikisha taifa linakuwa chini ya mkristo sijui kama watathubutu kumpatia Lipumba hyo chansi.
 
Ninachokiona hapa in ccm wanatekenyana wenyewe. Ukawa wako imara kama jiwe. In vema bigshow kajipange upya na ulete post yenye maana kidogo hii imekubumia booooom.
 

akili za chadema zitarudi december 2015
 
Sera ya ccm ni UDINI, UKABILA, UKANDA, RANGI YAANI WAO NI FULL UBAGUZI
 
Ccm ni full udini,ukabila na ukanda watu kama hawa Nyerere alisema ukiona mtu anakimbilia hayo ujue kafilisika kusiasa na ndio watu Wa ccm
 
Huyo wa Masasi bila shaka atakuwa ni NDOOOOOROBOOOO ndio maana hata hafahamiki..

Bora yule wa Kilwa nilimsahau kidogo..

BTW sio mbaya, Kaskazini CDM, Kusini CUF, Magharibi NCCR Mashariki CDM & CUF

Wewe endelea tu na chuki zako..
Yule mama wa Masasi si wa Viti maalum?
Tuambie wabunge wa kuchaguliwa kwenye sanduku la kura ukiwaondoa hao wawili waliopita kwa huruma ya kibinaadam.
 
We ni NDOOOROBO KWELI...
Kuna watu wengine wawili tu wanaopenda sana kulitumia neno ndooorobo humu JF! Ni kama vile mtu anaficha kichwa mchangani kumbe bila kujua huko nje ameanika kila kitu...kaaazi kweli kweli!
 
THE BIG SHOW with desperate politics! Ya Ngoswe mwachie Ngoswe!
 
THE BIG SHOW,

Ni kweli. Hata wewe ungekuwa CHADEMA usingekubali CUF iweke mgombea ZANZIBAR alafu hapo hapo iweke mgombea BARA. Ungekubali hivyo lazima tukupime akili.

UKIONA CUF wanang'ang'ania hivi, MAANA YAKE HAWAKO TAYARI KUONGOZWA AU KUWAPIGIA KURA 'MAKAFIRI'.

Wewe ni Mmoja wao ambaye hutaki, linathibitishwa na kwanza kupitia Thread hii unayosema huipendi CHADEMA kuliko CCM na pili kwa sababu msimamo wako juu ya hao 'Makafiri' unajulikana wazi humu JF.

ILI kuondoa hizi sarakasi, nafikiri KILA MMOJA asimamishe mgombea wake. Basi!. Huu URAFIKI WA MASHAKA hautawafikisha CUF wala CHADEMA popote pale.
 
Kwa asiyemjua The Big Shawty humu ni kwamba hasira zote na matusi juu ya Chadema ni kwa sababu kina Yericko walimwambia sio mwenzao,just that.jiulize huu ni upunguani kiasi gani,mtu mmoja akifanye ukue kila kitu
 
Tulizana tia akili kichwani acha kutangatanga huku na kule kila kukicha.

https://www.jamiiforums.com/tanzani...a-tukichukua-nchi-2015-tuifanye-nini-ccm.html


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…