Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 72
sitakubaliana kwamba kutulia kwa vurugu Mbeya ni kutokana na juhudi za mbunge wa mbeya mjini (CHADEMA) Mr Sugu peke yake ni juhudi za pamoja za viongozi wa mkoa wa mbeya bila kujali vyama wanavyotoka. Sugu au Mr II ni mbunge makini na kwa nafasi yake alikuwa na wajibu wa kibunge kukutana na wananchi haukuwa wajibu wa kichadema.
habari za kuaminika zinaeleza wazi kwamba baada ya Sugu kukutana na uongozi wa mkoa wa mbeya na kukubaliana kwa pamoja kuhusu mambo kadhaa kwa ajili ya utatuzi ikiwemo kuwaacha wafanyabishara hadi suluhu ipatikane ndipo alikwenda kuzungumza na wafanyabiashara ndogo kwa kutumia kauli ya mkoa lakini kila mtu anataka kutuaminisha kwamba zile ni juhudi za chadema na Sugu peke yake.
Tuache kutumia matukio kujijenga kisiasa.
SUGU ndio Rais wao? waziri mkuu balozi, mambo ya ndani afande sele.Wana mbeya walikataa kuongea na kiongozi yoyote zaidi ya sugu na wakatangaza kuu sugu ndiye rais wa mbeya. Nakushangaa wewe unayesema eti sugu angepitia wapi? Kweli wewe umelala fofofo kama jina lako lilivyo, na pia umelalia hengover za uccm.
Matukio ndio yanajenga kisiasa maana ndipo wananchi wanapojieleza pale watawala wanapokuwa viziwi...
Wangemtuma kandor au rpc kama ilikuwa rahic kutuliza hasira ya wananchi..
Think Big
Wana mbeya walikataa kuongea na kiongozi yoyote zaidi ya sugu na wakatangaza kuu sugu ndiye rais wa mbeya. Nakushangaa wewe unayesema eti sugu angepitia wapi? Kweli wewe umelala fofofo kama jina lako lilivyo, na pia umelalia hengover za uccm.
Kwa nini hao viongozi wa mkoa walikuwa kuwepo kwa amani wakati wa kikao chao na Sugu? Mbiona hawakuliona hilo tangu mwanzoni? Wao ndio waliosababisha vurugu hizo, kwa nini walishindwa kuzinyamazisha nmpaka Sugu alipokuja? Ina maana Sugu anabeba akili zao?sitakubaliana kwamba kutulia kwa vurugu Mbeya ni kutokana na juhudi za mbunge wa mbeya mjini (CHADEMA) Mr Sugu peke yake ni juhudi za pamoja za viongozi wa mkoa wa mbeya bila kujali vyama wanavyotoka. Sugu au Mr II ni mbunge makini na kwa nafasi yake alikuwa na wajibu wa kibunge kukutana na wananchi haukuwa wajibu wa kichadema.
habari za kuaminika zinaeleza wazi kwamba baada ya Sugu kukutana na uongozi wa mkoa wa mbeya na kukubaliana kwa pamoja kuhusu mambo kadhaa kwa ajili ya utatuzi ikiwemo kuwaacha wafanyabishara hadi suluhu ipatikane ndipo alikwenda kuzungumza na wafanyabiashara ndogo kwa kutumia kauli ya mkoa lakini kila mtu anataka kutuaminisha kwamba zile ni juhudi za chadema na Sugu peke yake.
Tuache kutumia matukio kujijenga kisiasa.
SUGU ndio Rais wao? waziri mkuu balozi, mambo ya ndani afande sele.
Sasa ndio naamini kuwa Tanzania tumerogwa.