ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 543
- 652
Umechemka sana kwa kufanya mlinganyo huo.Siasa ndani ya chama cha CDM hazielekei kwenye kujenga CDM imara hata kidogo.Sasa hivi kumetawaliwa na siasa za ubaguzi wa aina mbalimbali vitisho na ubabe chuki, ujasusi , uchawi, visasi, makundi, na uhafidhina. Wana CDM hawaelekezi nguvu zao vijijin ambako bado kuna wapiga kura wanaosema nakipigia kura chama cha nyerere, kila siku utasikia wamefanya mkutano mererani, iringa, jangwan au arusha hutasikia wamefanya mkutano huko ishozi au kilambu ntima. Historia ya vyama vya upinzani nchin humu ni kwamba j
huwa vinavuma muonngo mmja au miwili vinakumbwa na migogoro kamaCDM sasa hivi kisha vinapotea kama havikuwepo vile.Wapi Augustine Lyatonga Mrema na NCCR yake Lipumba na CUF yake. My take CDM kwa sasa inafata mkumbo huohuo.
Historia ya vyama vya upinzani nchin humu ni kwamba huwa vinavuma muonngo mmoja au miwili vinakumbwa na migogoro kama CHADEMA sasa hivi kisha vinapotea kama havikuwepo vile.
Wapi Augustine Lyatonga Mrema na NCCR yake Lipumba na CUF yake.
My take CHADEMA kwa sasa inafata mkumbo huohuo.

Hivi nyie watu msiojitambua mtatumika mpaka lini kama cond.om?!!!!!Siasa ndani ya chama cha CHADEMA hazielekei kwenye kujenga CHADEMA imara hata kidogo.Sasa hivi kumetawaliwa na siasa za ubaguzi wa aina mbalimbali vitisho na ubabe chuki, ujasusi , uchawi, visasi, makundi, na uhafidhina. Wana CHADEMA hawaelekezi nguvu zao vijijini ambako bado kuna wapiga kura wanaosema nakipigia kura chama cha Nyerere, kila siku utasikia wamefanya mkutano Mererani, Iringa, Jangwan au Arusha, hutasikia wamefanya mkutano huko Ishozi au Kilambu Ntima.
Historia ya vyama vya upinzani nchin humu ni kwamba huwa vinavuma muonngo mmoja au miwili vinakumbwa na migogoro kama CHADEMA sasa hivi kisha vinapotea kama havikuwepo vile.
Wapi Augustine Lyatonga Mrema na NCCR yake Lipumba na CUF yake.
My take CHADEMA kwa sasa inafata mkumbo huohuo.
Siasa ndani ya chama cha CHADEMA hazielekei kwenye kujenga CHADEMA imara hata kidogo.Sasa hivi kumetawaliwa na siasa za ubaguzi wa aina mbalimbali vitisho na ubabe chuki, ujasusi , uchawi, visasi, makundi, na uhafidhina. Wana CHADEMA hawaelekezi nguvu zao vijijini ambako bado kuna wapiga kura wanaosema nakipigia kura chama cha Nyerere, kila siku utasikia wamefanya mkutano Mererani, Iringa, Jangwan au Arusha, hutasikia wamefanya mkutano huko Ishozi au Kilambu Ntima.

mtu mwenyewe umejiunga juzi tu ili kuleta majungu, gamba wewe....

Nakuunga mkono, wote wliojiunga hivi karibuni naona wameingia jamvini kwa kazi ya kuishambulia CHADEMA! Je, wataweza?